Maandamano ya wanaharakati yasisitishwe

Maandamano ya wanaharakati yasisitishwe

cha arusha

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
12
Reaction score
3
Napongeza juhudi za mh zito na wadau wote (wanaharakati) wa ukombozi, hatimae magamba wametangaza nia ya kutii nguvu ya uma baada ya kusukumwa. Wanaharakati hawana budi kuandamana nchi nzima kwa amani kupongeza mshikamano mkubwa wa wanaharakati kupelekea magamba kutangaza nia ya kuwajibika. Safari bado ni ndefu laki "M'BUYU ULIANZA KAMA MCHICHA"
 
Back
Top Bottom