ukosefu wa Elimu ya juu ndio inakusumbua kaa lumumba subiria buku 7 zako kila ijumaa.Nadhan unapaswa uanze ww kujikagua ua uzuzu kiasi gani mkuu
Tutumie hoja bila matusi. Tuelimishane badala ya kukatishana tamaaUngekuwa unaongea kwenye kikao cha ndani cha chama chako chakavu mazuzu wangekupigia makofi.
Huku tunakupa makavu,
Wewe ni zuzu unaetaka kutufundisha ujinga.
Usirudie na ukome kuja na fikra kinyumenyume namna hii.
Narudia NI ZUZU!!
NDIIIO, ZUZU!!!
Umezuzuka haswaaaa!!!
ukosefu wa Elimu ya juu ndio inakusumbua kaa lumumba subiria buku 7 zako kila ijumaa.
swissme
hahahahaBuku saba atoe wapi. Siku hizi kiwango ni buku mbili. Sasa na mtu mwenyewe kazaa hovyo watoto saba kazi.maalumi hana kutwa lumumba. Ndio maana akili hazioni mbali.
Hii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,
Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.
CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani
Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa
Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,
Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
Tarehe 1 mtanikumbuka sanaHii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,
Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.
CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani
Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa
Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,
Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
Achana na huyo hajitambui.Wakati wakubwa wako wanajadili jinsi ya kuondoa zuio la mikutano na maandamano mapema wewe unabwabwaja!
Kama ni kiini macho haya maonyesho policcm wanayofanya huku mtaani niyaniniHii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,
Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.
CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani
Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa
Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,
Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
wewe ni naliwe au kuna a apo ulisahau kwenye jina lako ilo. sasa utaona ukuta ukikukilaa ivi iviHii ni kete ya mwisho kwa CHADEMA,naamini hawatakua na hawana nia ya kufanya maandamano kwa sababu wanaijua vema hii serikali si dhaifu tena,
Kauli hizi za maandano kwa CHADEMA ni moja ya propaganda yao ya kukifufua chama ili kisitoke midomoni mwa wanachama.
CHADEMA walijua baada ya kutoa kauli hii kuna viongozi watapaniki sana na kupaniki kwao ndio itakua njia peke ya kuwatambulisha kua bado wapo kwenye top ten ya chama pinzani
Ushauri wangu
Najua maandamano hayatakuwepo naamini hivyoila chama kijiandae kufa
Na ndugu zangu chama tawala acheni kuzungumzia maandamano ya CHADEMA, mnakipa umaarufu bila kujijua,
Narudia tena hakuta kua na maandamano na tarehe moja ni mwisho kwa CHADEMA.
hahahahaha huwa kuna muda jf inawachekeshaji sana