KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,291 Oct 16, 2015 #1 Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1. Je maandamano yalikua na kibali?
Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1. Je maandamano yalikua na kibali?
kizibo1 JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 1,187 Reaction score 766 Oct 16, 2015 #2 KakaJambazi said: Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1. Je maandamano yalikua na kibali? Click to expand... Analindwa na Utawala unaokufa kifo cha mende
KakaJambazi said: Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1. Je maandamano yalikua na kibali? Click to expand... Analindwa na Utawala unaokufa kifo cha mende
afande pande Member Joined Oct 2, 2015 Posts 85 Reaction score 15 Oct 16, 2015 #3 Puuuuumbavu!yeye nani kwanza
D DavidKing Member Joined Oct 11, 2015 Posts 14 Reaction score 1 Oct 16, 2015 #4 Kiranja wa zamu na fisiem ndo wenye baraka na chochote anafanya yule domo. Msanii akiomba mafuriko wanaangalia tu ila aombe kiongozi wa upinzani hata kwenda hospital wanapanic. #getangry
Kiranja wa zamu na fisiem ndo wenye baraka na chochote anafanya yule domo. Msanii akiomba mafuriko wanaangalia tu ila aombe kiongozi wa upinzani hata kwenda hospital wanapanic. #getangry
Ozzie JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 3,217 Reaction score 1,266 Oct 16, 2015 #5 Nilishangaa jana mida ya saa nane nikielekea airport, diamond katengeneza foleni upande wa pili. Foleni isiyo na tija...
Nilishangaa jana mida ya saa nane nikielekea airport, diamond katengeneza foleni upande wa pili. Foleni isiyo na tija...
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 16, 2015 #6 Na imagine kutoka Airport hadi Escape one....
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Oct 16, 2015 #7 afande pande said: Puuuuumbavu!yeye nani kwanza Click to expand... Ni Diamond..
Nkobhe JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 452 Reaction score 148 Oct 16, 2015 #8 mtanyie sana Mwaka huu!!!!!
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Oct 16, 2015 #9 Mburula/ maskini akipata
ALU255 JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 2,089 Reaction score 2,125 Oct 16, 2015 #10 punguzeni povu kwani ile tuzo imewakilisha wapi kama si tanzania lazima watanzania tuungane kumpongeza kijana wetu kwa juhudi alizonazo
punguzeni povu kwani ile tuzo imewakilisha wapi kama si tanzania lazima watanzania tuungane kumpongeza kijana wetu kwa juhudi alizonazo
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,928 Oct 16, 2015 #11 UKAWA naona mmeamua kuonyesha hasira zenu baada ya kijana mliyemsusia kumpigia kura kuwatoa nishai hahaha
UKAWA naona mmeamua kuonyesha hasira zenu baada ya kijana mliyemsusia kumpigia kura kuwatoa nishai hahaha
yomboo JF-Expert Member Joined May 9, 2015 Posts 6,225 Reaction score 4,905 Oct 16, 2015 #12 Alphaking mahena said: punguzeni povu kwani ile tuzo imewakilisha wapi kama si tanzania lazima watanzania tuungane kumpongeza kijana wetu kwa juhudi alizonazo Click to expand... Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua
Alphaking mahena said: punguzeni povu kwani ile tuzo imewakilisha wapi kama si tanzania lazima watanzania tuungane kumpongeza kijana wetu kwa juhudi alizonazo Click to expand... Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua
K Kidingi JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 1,872 Reaction score 1,832 Oct 16, 2015 #13 Mmenyoooshwa sasa mnatoa povu vipi kura zenu kwa Davido hazikutosha??? oyoooooooooooooooo
STDVII JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 1,629 Reaction score 691 Oct 16, 2015 #14 Waacheni Watu wafurahi Dua la Kuku halimpati Mwewe, muda wa kuishi ni mfupi sana.
M Mama chaudere Member Joined Oct 9, 2015 Posts 65 Reaction score 8 Oct 16, 2015 #15 Ozzie said: Nilishangaa jana mida ya saa nane nikielekea airport, diamond katengeneza foleni upande wa pili. Foleni isiyo na tija... Click to expand... Yaani hii nchi cjui itaacha lini visa, mm nilidhani mkulu wa nchi anapita maana iyo foleni ilikua ya kufua mtu kumbe nd foleni ya diamond
Ozzie said: Nilishangaa jana mida ya saa nane nikielekea airport, diamond katengeneza foleni upande wa pili. Foleni isiyo na tija... Click to expand... Yaani hii nchi cjui itaacha lini visa, mm nilidhani mkulu wa nchi anapita maana iyo foleni ilikua ya kufua mtu kumbe nd foleni ya diamond
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,884 Oct 16, 2015 #16 Hivi mnajua tuko na wachawi live humu.!! Hahaa na bado.
R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,152 Oct 16, 2015 #17 KakaJambazi said: Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1. Je maandamano yalikua na kibali? Click to expand... Rais huwa haombi kibali....
KakaJambazi said: Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1. Je maandamano yalikua na kibali? Click to expand... Rais huwa haombi kibali....
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,867 Reaction score 5,064 Oct 16, 2015 #18 yomboo said: Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua Click to expand... Kuna Mazombi zaidi ya wale wanaokemea ufisadi kwa nguvu zote ila baada ya kuwezeshwa WANABADILIKA na kuanza kuushabikia?
yomboo said: Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua Click to expand... Kuna Mazombi zaidi ya wale wanaokemea ufisadi kwa nguvu zote ila baada ya kuwezeshwa WANABADILIKA na kuanza kuushabikia?
R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,152 Oct 16, 2015 #19 Mama chaudere said: Yaani hii nchi cjui itaacha lini visa, mm nilidhani mkulu wa nchi anapita maana iyo foleni ilikua ya kufua mtu kumbe nd foleni ya diamond Click to expand... Dah! Samahani kwa usumbufu, alikuwa ni Mkulu wa Mijitizo, The National Icon... yeye ndie alikuwa anapita!
Mama chaudere said: Yaani hii nchi cjui itaacha lini visa, mm nilidhani mkulu wa nchi anapita maana iyo foleni ilikua ya kufua mtu kumbe nd foleni ya diamond Click to expand... Dah! Samahani kwa usumbufu, alikuwa ni Mkulu wa Mijitizo, The National Icon... yeye ndie alikuwa anapita!
R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,152 Oct 16, 2015 #20 yomboo said: Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua Click to expand... Kura zenu hazikutosha kumpigia Davido, au ndo mambo ya from 8 mb to 1mb!!!
yomboo said: Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua Click to expand... Kura zenu hazikutosha kumpigia Davido, au ndo mambo ya from 8 mb to 1mb!!!