Huwa najaribu sana kufikiria mambo ya nchi,mpaka nachoka mwenyewe.
Wengi wetu unapenda sana kugoma,lakini nani alianzishe...
Suala la umeme kupanda,ukiangali wameingia mikataba na makampuni yanayozalisha umeme kwa kutumia mafuta,i hali sisi hatuzalishi mafuta,hapo ndo tabu inapoanzia. Mi sijui viongozi wetu wanampango .gani na sisi...