maandamano ya chadema shy

mama kubwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
6,568
Reaction score
10,624
maandamano ya chadema shy yameanza muda mfupi nyomi usipime sina uwezo wa kuwaletea picha ila kwa kifupi ccm kwishney
 
heko chadema . god bless tanzania watawala you better step down mkajipange jamani mshasaturate hata mfanyaje sasa hamuwezi badili mambo mtandelea kuhaha huku nchi ikilegalega
 
maandamano yamefika maeneo ya japanise corner kwa wanaoijua shinyanga.mods mnaweza kuiunganisha na ile ya regia (mhe) wakati naanza hii nilikuwa sijaiona
 
kwanini picha haziwekwi? Watu wanataka kuona!!
 
Picha muhimu jamani...................................
 
Ndiyooooooooooooooooooooooooooooooo CMD, Arusha lini?? mnakuja, karibuni nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…