Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

Status
Not open for further replies.
Wanatia aibu walahi!
Watanzania tunaogopa mtutu wa bunduki, ndo maana mwanaume mmoja anajitokeza kuwapima wanaume wenzake tezi dume.
First attempt imefail we are waiting for the second attempt. Hata south africa first attempt ili fail ila ya pili ili succeed jeshi lilipoungana na wananchi
 
We
we wasema yupo peke yake,hayo mavideo na madocument mlokuwa mnamtumia leo useme yupo peke yake,mnaomfollow wote ni wajinga na sio serikali
 
Je jeshi la police Tanzania limetumia kiasi gani cha fedha kutishia watu wasiandamane?

Hii ni hatari sana kwa nchi yetu, mtu mmoja aishie Marekani anaweza kuitia hasara nchi kiasi hiki? Are we real safe?

Hii ni amani au ni woga?

Ndo tatizo kuongozwa na vichaa, mtu yuko america anasema mambo ya kijinga na mazuzu yanaona ni kitu ya kweli, tz ya sasa tukiendendekeza huu ukichaa nchi itaishia kubaya sana, ni miaka mitatu sasa hakuna hatua hata moja mbele, ni matamko ya kiuendawazimu tu,mara bashite mara sisonje, idiot.
 
Je jeshi la police Tanzania limetumia kiasi gani cha fedha kutishia watu wasiandamane?

Hii ni hatari sana kwa nchi yetu, mtu mmoja aishie Marekani anaweza kuitia hasara nchi kiasi hiki? Are we real safe?

Hii ni amani au ni woga?
Leo hadi ndege JWTZ zimerushwa utadhani kuna vita
 
Je jeshi la police Tanzania limetumia kiasi gani cha fedha kutishia watu wasiandamane?

Hii ni hatari sana kwa nchi yetu, mtu mmoja aishie Marekani anaweza kuitia hasara nchi kiasi hiki? Are we real safe?

Hii ni amani au ni woga?
Huu ndio ujinga wa ngozi nyeusi, hiyo hasara mnadhani ni kutoka mfukoni kwa Magufuli? Mnaanzisha ujinga mkidhani mnaemuimiza ni MTU Fulani kumbe unaumiza kizazi chako mwenyewe!!
 
nadhani hayo ndo huja kuwa matumizi nje ya bajeti.....

''hela ya kununulia dagaa,, watoto wale washibe, unaenda kununulia kinyago ili uwatishe''

ukiachana na mafuta, hata wale askari huenda wamelipwa posho nzuri tu.. na si ajabu kuna vifaa vipya vimenunuliwa kwa dharura...
 
Nilishangaa sana nikiwaona sehemu kule kwa yule Kamanda mwenye sura ngumu anayependa kuongoea na vyombo vya habari, polisi walijazana barabarani huku wamepaki magari mengi karibi Ishirini na tano, magati mengine yalikuwa yakisambaza polisi mitaani.
 
Baba zetu wametuambia, ukiamuwa kitu cha kufanya, ingia mzima mzima, huo ndio uanaume, sasa hawa wenzetu wamekacha kila kata, halmashauri, wilaya na mikoa, eti watu 9 tu!
Mifano ndio hiyo, Madagascar, Kenya, Congo, yaani wakereketwa wakiamuwa ni liwe na liwe, sasa hawa wenzetu kelele zote zile, mabango, yaani tulijuwa dola leo itatikiswa, itawatambuwa hawa wadai haki zao, itakuwa patashika...
Kumbe wamefyata wote, ina maana hata wao hawakumuani mropokaji wao, walikuwa viherere na washangiliaji, game imefika ichezwe hakuna mtu?! Hata sitawafagilia tena, kweli ni wababaishaji tu hawa..
Mie sikuona sababu ya kuandamana, kila haki iliyopo nchini naipata, kuanzia mawasiliano ya simu, internet, haki kwenye vyombo vya usalama n.k....kwa kweli sina sababu yoyote ile...
Labda sababu nafuata sheria bila shuruti, au labda sina elimu, au zuzu..
Ila wenzetu waliolalamikia [HASHTAG]#freedom of speech[/HASHTAG] huu ndio ulikuwa wakati wao, fursa yao...
 
ni kweli madai yake yametimizwa kwa 90% au tunajifariji baada ya kushindwa vibaya?
 
Hao waliofunika nyuso zao wanaogopa nini??? Wengine wametambulika na ni kama wamejitangaza kuukana Utanzania, otherwise....!!%@&#€¥*

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…