Jamani mimi nauliza swali dogo tu. Licha ya kuwa Muamar Ghadafi ametawala Libya kwa zaidi Umri wa mtu mzima; Mbona hakuna maandamano Libya?. Je, Wao hawataki mageuzi?
Kwa nini Tunisia, Egypt, Lebanon, Yemen n.k ndio tuu wanaandamana?
mkuu hayo ni mawazo finyu, bongo yafanyike maasi toka kwa wananchi kwa sababu gani?
kuna mapungufu ya kawaida lakini tuna miaka mitano ya kufanya uchaguzi na kuamua hatima ya uongozi. Watanzania siyo bendera fuata upepo tu kufurahisha kiongozi fulani wa upinzani kama unavyodhani
hakuna kitu kama hicho nenda italy uone wakimbizi wa Kisiasa walivyojaa! ana ku-terrorize ukijaribu fyokofyoko! ni kama saddam Hussein na Baath enzi zao! siku yake itafika tu!