Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
Zikiwa zimebaki takribani saa kazaa tu kuwasili kwa kiongozi wa taifa la Marekani bwana Barack Obama, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, amesema kuandamana na kubeba mabango ni ushamba.
ameyasema hayo katika kipindi maalum kilichokua kikirushwa na TBC, akaenda mbali zaidi kwa kusema maandamano yeyote yale kimsingi hua hayana maana yeyote ile, kwa sababu hata kama ukiandamana haitakusaidia zaidi ya kupoteza muda wako tu.
Nimejiuliza maswali mengi sn juu ya maelezo ya mkuu wa mkoa na tafsili zake juu ya hoja nzima ya maandamano, zipo sababu nyingi ambazo zinapelekea watu kuandama, hata huko anakotokea Obama kuna baadhi ya watu tumeona waliandamana kupinga ujio wa Obama nchini mwao, sasa kwa mujibu wa kauli za mkuu wa mkoa kwa niaba ya serikali anataka atulazimishe watanzania wote tukubaliane na matakwa ya serikali hata kama ni mabaya.
NAWASILISHA.