Maandamano: Maswa hapatoshi umati mkubwa sana

" ndugu wananchi muwapuuze CDM maana maandamano yao ni hatari kwa nchi" hiyo ni nukuu ya mh. raisi kwenye hotuba yake. sasa wananchi wamekupuuza wewe mkuu, wanazidi kuisuport CDM sana, ni kama jana uliwachochea.
 


PICHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA JAMANI PICHAAAAAAAAAAAAA MUHImuuuuuuuuuuuuuu
 
" ndugu wananchi muwapuuze CDM maana maandamano yao ni hatari kwa nchi" hiyo ni nukuu ya mh. raisi kwenye hotuba yake. sasa wananchi wamekupuuza wewe mkuu, wanazidi kuisuport CDM sana, ni kama jana uliwachochea.

Nimekugongea sankyu kabisa
 

Hilo ni Trailer picha kamili ikifika maeneo ya Dsm, Mbeya, Arusha, Iringa Rais wetu anaweza kata kauli kabisa
 
Hapa ingekuwa ni nchi zingine Dr.Slaa tayari angekuwa ameshajitangaza rais kama kule Ivory cost.
maana hii hali inatisha na sio ajabu hata JK mwenyewe anaogopa sana
 
Atajifunza kuchagua cha kuzungumza, CDM ni kama people power. Haizuiliki kwamipasho ya TV. CDM Ndoo inakumbakumba nchi. CCM Kwisha kazi. Kadi zinatupwa hovyo. Haina dira. Haieshimu hata wazee wao. CCM Kwishney.

Mbowe, Slaa, Lisu, Mdee NK Mbele kwa mbele, haogopwi mtu hapa. Hii nchi ni ya peoplessssss.:A S 13:
 
JK anazurura hovyo hovyo kila nguvu ya umma ikipamba moto tz. Ujanja wake ni kwamba kama nguvu ya umma ikiingia ikulu basi huko alipo waamue kumuhifadhi huko huko. Anajua nguvu ya umma ikimkuta Ikulu hakuna nchi itakayomkaribisha




Kumbe ana akili!! LOL:A S 13:
 
Walipokuwa wanasema vyama vya upinzani visiishie mjini tu viende vijijini walidhani havitafika, sasa vimeenda wamebadirika tena wanasema virudi mjini vijifungie bungeni.

..Kwamba eti wabaki bungeni na kwenye vikao vya halmashauri na mabaraza ya wilaya (mijini)..
 
Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr................................
 
Tujipe moyo. Aluta contnuer, Mapambano yanaendelea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Kikwete ajue kwamba yeye ni mtu wa maneno tu, na hakuna anayeogopa maneno yake anymore...
Usikute hata sasa tunahangaika tu, keshasahau aliongea nini jana!....
Tuna hasara kubwa sana , hakyanani!

Jamaa huwa hakumbuki jana kaongea nini.
1: Wakati anaingia madarakani alisema, mgao wa umeme utakuwa historia! Leo mgao ni mkali kuliko.
2: Alisema atashughulikia mchwa wote katika halmashauri za miji na majiji! Yeye mwenyewe balaa!
3: Ataifanya Mwanza kuwa kama Califonia na Kigoma kama Dubai! Njolay alivyo iacha Mza iko vile vile, sijui KG?
4: Hotuba ya kufunga mwaka alisema uchumi umekuwa, mfumuko wa bei umeshuka nk! Leo anasema uchumi haujakuwa na kumekuwa na mfumuko wa bei mkubwa!
5: Alisema Maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana leo analalamika!
6: Alisema awamu hii ni kwa kasi zaidi, nguvu zaidi na Ari zaidi leo anasema Mwl. Nyerere hakumaliza, Mwinyi Ruksa hakuweza, Mkapa yalimshinda na yeye ndo kabisaa hawezi!
Nimeshindwa kumuelewa Mkwere, shame on him Mr. president!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…