Ritz...sasa tutapendekeza hao chadema wakuteue msemaji wao ili usiendelee kuwa mpotoshaji wao...hoja inayojadiliwa ni maandamano ya madaktari....sasa ya chadema yanaingiaje hapo?Chadema watakuwepo kwenye hayo maandamano.
Chadema watakuwepo kwenye hayo maandamano.
Tatizo sio kuchukizwa na post ila upotoshaji ulio kwenye hoja unayoisimamia........nitaendelea kukupinga hadi utakapothibitisha unayotaka kuwaaminisha watu hapa...CHADEMA wamesema hawahusiki....wewe kwanini unalazimisha??Mkirua, Kwa hiyo wewe ndio una haki ya kuisema CCM, CUF, NCCR Mageuzi, TLP, utakavyo halafu utaki Chadema isemwe vibaya na unataka kuwafunga watu mdomo wasiseme chochote usichokipenda kuhusu Chadema...hivi hunajua maana ya forum? JF sio mali ya Chadema usiwapangie watu vitu vya kuandika kama post zangu zinakuchukiza zipotezee.
UN wana mambo ya msingi wameishaambia hatuna uwezo wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi.
mkuu umaarufu hautafutwi kwa kuonyesha upeo mkubwa wa ujinga.Hakuna aliyekatazwa kwenda kwenye maandamano,
1.Polisi hupewa taarifa(KISHERIA) ili kulinda waandamanaji
wasilete fujo na vivyo hivyo waandamanaji wasiingiliwe
na watu wengine...Lakini kwa muda mrefu imekuwa
ikichukuliwa kuwa "WANATOA KIBALI"
2.Mtu yeyote anaweza kuwa katika maandamano kwa
kufuata tu utaratibu wa waandamanaji,(katika hili uwe na
kitambaa cheupe kama si daktari na koti jeupe ukiwa
daktari)
3. Ushabiki wa vyama, ujinga wa kuongea bila kufanya
uchunguzi,hausaidii.
4. Unaweza kuwa unafanya kazi yako kwa bidii sana
ukidhani uko sahihi, na kuwa unakisaidia "hicho chama"
lakini unazidi kukididimiza kwa "mawazo mazuri" lakini
njia mbaya za utendaji.
5. Naamini kuwa katika jumuiya hii ya madaktari au kwa
ujumla wao 1500(madaktari wafanyao kazi ktk hospitali
za serikali nchi nzima) kuamua kutoweka itikadi zao za
kivyama na kuweka kipaumbele cha taaluma! Kwani ktk
idadi hii kuna madaktari wengi wa kila itikadi za vyama,
dini, kabila n.k.
watu mnaotumiwa ni hatari sanaMimi nasubiri nione,zao la wafaulu mitihani kwa kutumia nyenzo naamini ndo watakaoandamana kesho...waliwaponza Ma'interns wakafutiwa usajili badala ya kuwapigania juzi Chitega sijui Chi' nini akautangazia Uma kuwa eti wamewaachia Viongozi wao(wa ma'interns) washughulikie issue hiyo wakati wao wanendelea kula bata na leseni zao,period!
I support the doctors!
I dont support the doctors!
wauaji wakubwa hawa, wanaringia taaluma zao, wamejaa majivuno, wanajiona bora kuliko binadamu wengine wote. hakika hawa wanahitaji kutubu!
mbarikiwe sana wapendwa,
Glory to God!
Ms Judith,
Bora na wewe dada yangu umesema mie nimeambiwa mjinga natafuta maarufu sijui umaarufu gani wakati hata hatuaji.
mpendwa Ritz,
kweli kuna madai ya maana na madai ya kijinga. nathubutu kusema kuwa hawa madaktari wana madai ya kijinga!. hawa wamejaa kiburi wakijidanganya kuwa taaluma yao iko juu ya nyingine. huu ni ujinga na upumbavu. taaluma zote ni sawa na kama mie ndiye nigekuwa na maamuzi ya mwisho, ningeishawafundisha adabu siku nyingi sana. kwa kweli nakereka sana na katabia kao haka ka kijinga ka kuwatesa wananchi wenzao pasi na sababu yoyote ya kueleweka. natamani niwe rais wa tz hata kwa dakika moja tu, niwashikishe adabu!
namtakia kila la heri rais kikwete kwa hatua anazochukua
mbarikiwe sana wapendwa,
Glory to God!