Mwan mpambanaji
JF-Expert Member
- Apr 3, 2008
- 482
- 131
wanabodi
CHADEMA Arusha wataandamana Jumanne ya wiki ijayo kupinga wanachama wao kukatwa mapanga na akna Mjusi na Mojaa wa ccm,pia watalaani na kupinga polisi kushirikiana ccm kuwakandamiza
Tangu kampeni za Sombetini zianze wanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani wapatao 8 wamekatwa mapanga na ccm mbele ya polisi bila hatua yoyote kuchukuliwa dhidi ya wahalifu hao
Duru kutoka kwaviongozi wa Jeshi la polisi zinadai kuwa OCD na RPC wapo kinyume cha CHADEMA hasa baada ya tuhuma nzito kuwa wao ndio waliopiga bomu Soweto Juni 15
Tangu lini wauaji nao wakavamiwa na kupigwa usitudanganye kabisa nyie chadema mmezoea kupiga watu na kusingizia ccm mlirusha bomu soweto mkasingizia polisi.
haya lemaaaaa kaanza tenaaaaa,huu lema atakuwa na laana,
Tangu lini wauaji nao wakavamiwa na kupigwa usitudanganye kabisa nyie chadema mmezoea kupiga watu na kusingizia ccm mlirusha bomu soweto mkasingizia polisi.
ukishindwa kupata haki kutoka vyombo vinavyohusika , dawa ni kukusanya nguvu ya umma tu , hiyo ndiyo kiboko yao .
umetia aibu sana .
Tz imekuwa nchi ya uuaji wa raia waso hatia hili latokana na utawala wa damu ulopo madarakani.
umesahau miaka ile pelekeni pua muone chuma cha shaba kipo mtarudi bila miguu.