ILe ilikua Mtwara vijijini waliambiwa DC wao ataenda leo,bdo wanasubiri ila walisema km hawapewi majibu ya maana wataendelea na zoezi hadi kieleweke.sii majuzi walifunga barabara ya newala mtwara kwa madai hayo hayo!serikali ilitoa ahadi ya uongo
Ahsante kwa kulitambua hilo!....huyo jamaa ni CUF damu. Seme ndiyo hivyo tena chama chake kimekufashossi bwana unataka useme huu mtandao niwachadema???
Tunakufahamu wewe bwana acha unafiki wako hapa!
we mmahe upo sawa kweli? Badala ulete habari za chadema unatuleta utumbo wa cuf! Jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Mmmh hivi wewe ni Shossi, "Shosti" au "Sholi" maana naona umekurupuka kindama zaidi hebu wacha kufanya CDM kuwa Wabinafsi kama wewe, hii ni kwa ajili ya maslahi ya walala hoi wenzetu bana; we wa wapi wewe!!
ukapimwe wewe! Go cuf go!
Asante sana bwana Pinokyo kwa kejeli zako ila mimi sijakuita jina baya na kwa kuniita jina baya hakupelekei mimi kukuvunjia heshima zako.
Shukran sana mkuu ubarikiwe 7 mara 70
Nasikia mnunuzi wa hizo korosho ni mtoto wa mwenye nchi
kumbe hujapona bado! nilete habari zip za Chadema? Chadema ndo wanaandamana leo? acha ushabiki wa kijinga! hatuwaoni chadema huku, hawajui kama wakulima wa korosho wanadhulumiwa? mbona hawatetei? ziko wapi harakati zao kutetea wakulima hawa, mbona wapo kimya tu. binafsi sishabikii chama naangalia nani anafanya nini na kwa maslahi ya nani! hata wangeandamana TLP ningeleta tu hiz habari coz wanadai maslahi ya umma upo?
Ndugu yangu umeishiwa hoja naona! Na sina hakika kama we ni mwana chadema make usingeogopa challenge bali kukabiliana nazo... Ina maana CDM ndo wana habari? au mtu kama wewe ukikabidhiwa nchi si utazuia wapinzani na ishu zao zisiwe reported? hii akili ni ya kiccm zaidi na si CDM!We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
CUF tena wanampinga mumewe CCM?
We MMAHE upo sawa kweli? badala ulete habari za Chadema unatuleta utumbo wa CUF! jua kuishi na jamii inayokuzunguka mkuu Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
shossi bwana unataka useme huu mtandao niwachadema???
Tunakufahamu wewe bwana acha unafiki wako hapa!
maelfu ya wanachama wa Cuf leo wamepambana na police katika maandamano yaliyoitishwa na cuf wilaya ya tandahimba kupinga stakabadhi ghalani xakiongozwa na julius mtatiro ma mwenyekiti wa wilaya katani Ahmed katani, ambapo police walipiga marufuku maandamano hayo.