Maandamano kuunga mkono serikali yetu juu ya EAC

hivi kwa nini watanzania tusipewe nafasi twende kwenye kura ya maoni ili kumaliza huu ubishi'kwa kweli wakuu ili jambo litatupotezea muda sana kwenye kujadili'kura ndio solution
 

Inasikitisha sana kwakweli, yani watu wanafanya MAKUSUDI kupindisha ukweli eti kwa kisingizio cha wa-Arabu, kwani hao wawekezaji waki-Arabu kupewa mashamba ya kulima ina maana kuwa wa-Arabu wote huko kwao sasa wanahaki sawa na wa-Tanzania kwenye umiliki wa ARDHI yetu....

Naunga mkono hoja ya MAANDAMANO hata kama yatakuwa humu humu JAMVINI😛oa
 
Kama lease ilikuwa miaka 99 bado haijafikia.Wajuu zetu ndo watarudishiwa hio ardhi au kama Raisi ataona lease hio haina manufaa kwa nchi.Kwa sasa inaweza ikawa ni ya manufaa japo kwa vijipesa "Kiduchu". Serikali ingekuwa makini..i ngefanya biashara ya 'LEASE YA ARDHI" tukapata pesa za kutakata na wananchi wa maeneo yanayozunguka hayo yaliyo kuwa "LEASED" wakafaidika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…