Maandamano kuunga mkono harakati za Misri?

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Nadhani ingekuwa vizuri kama aidha ngome ya upinzani au umoja wa NGo's wangepanga maandamano ya kuunga mkono juhudi zinazoendelea Misri za kuleta demokrasia na mabadiliko katika jamii.

Maandamano hayo yawe ni mwanzo wa kuwa na utamaduni wa kushikamana (a culture of solidarity) na harakati zinazoendelea hivi sasa katika nchi tofauti duniani zinazolenga kubadilisha mfumo wa unyanyasaji.

Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom