meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,829
Kwa wale wanaoguswa na bei mpya ya umeme mnatakiwa kuonyeaha hisia zenu kupitia maandamano ya amani kuelekea ubungo.Tarehe ya maandamano itatangazwa
Nimenunua umeme wa Tsh. 20,000/= nimepata unit 35 juzi tar.1/1/2014 leo umeme umeisha.
mkuu yaani ukifikiri kwa makini unaona bira ugharamie ujinunulie solar na inverter kubwa walau 5000wt ili kuachana na mijizi hii ya ccm,
ila ninacho shukuru nipo mbioni kupata uraia wa nchi fulani lakini bado naumia sana na watanzania wenzangu nitakao waacha wanavyo pata tabu na huu utawala wa ccm na mafisadi wao.Umeme nao ni anasa kutumia kwa mtanzania
embu nenda basi ukajiswafi yakhe!! UNATULETEA GHASIA TU HAPA BANA, MAANA UMEVURUGIKA HASWAAA!!ILA USISAHAU SUPER DOLL!! TEH TEH TEH!!!Baba yako hana adabu, haya tulikubaliana ni siri, na mimi nikikuambia maumbile yake huko nyuma utaenda kumuhadithia?
Mkuu ni kweliKwa wale wanaoguswa na bei mpya ya umeme mnatakiwa kuonyeaha hisia zenu kupitia maandamano ya amani kuelekea ubungo.Tarehe ya maandamano itatangazwa
Hiyo ndio issue wajameni. Kuweni tayari kuonyesha hisia zetu kwa watawala. Viwango hivi vya kutisha ni matokeo ya dili za wakubwa. Sasa mzigo unatupiwa vichwani kwa raia wanyonge kulipia ulaji ngawira wa viongozi wa dola.Kwa wale wanaoguswa na bei mpya ya umeme mnatakiwa kuonyeaha hisia zenu kupitia maandamano ya amani kuelekea ubungo.Tarehe ya maandamano itatangazwa
niko tayari kuchangia pesa kidogo ili kuyawezesha na kuhakikisha MUHONGO anang'oka .
niko tayari kuchangia pesa kidogo ili kuyawezesha na kuhakikisha MUHONGO anang'oka .