Yaani hawa watoto wa siku hizi balaaa, yaani mtu anawaibia na analawiti na kuondoka kwenye kambi ya vijana wa chuo. Haki ya mungu JKT muhimu sana kwao vinginevyo tutakuwa na kizazi cha ajabu. Mibaba nayo inaandamana kupinga kulawitiwa???
Niwakumbushe enzi za Tambaza, Konda akipiga mwanafunzi mmoja tu, taarifa zikifika shule watu wanaweka mkutano cafeteria na jioni watu wanaingia road kutembeza sako la nyani ngedere haponi kama mziki ukifungwa fire ilikuwa Dar nzima inapata habari.
Baba zenu wakatia fitina miaka 15 baadae sasa vijana wanavamiwa na kubakwa, huo mziki wa Tambaza ilikuwa Form IV tu sasa hawa wmefika six mpaka chuo.