Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 286
- 599
Utangulizi
Maandalizi magumu Mafanikio makubwa, nikiwa nasoma habari kadhaa kwenye maandiko matakatifu nikajua kweli maandalizi magumu Yana Mafanikio makubwa
Ushuhuda wa kwanza
Habari ya Sporah binti WA kuhani wa midiana ,huyu Dada katika ujana wake alikutana na changamoto nyingi Sana katika kuolewa kwake ,wako watu waliokwenda Kwa wazazi wake Kwa ajili yake lakini aliwakataa, wako ambao walituma ndugu na Jamaa Kwa Baba , lakini aliweka msimamo wake na kuwakatalia
Wengine wakamcheka na Kazi ya kuchunga kondoo za Baba yake wakisema huyu ngoja afikishe miaka 30s huyu ataolewa na wachunga kondoo wenzie , hawakujua Yule dada alimwona Musa kwenye ndoto aliona Hiko Siku atakuja Musa kumchukua kumpeleka katika nchi ya ahadi , alikubali kila Aina ya matumsi akingojea ahadi yake, akiamini Yule aliye ahidi ni mwaminifu na katika kuvumilia kwake alimwona Bwana
Namba 2
Ruth Yule mkwe WA naomba huyu Dada baada ya kufiwa na mume wake, Maisha yake yalikuwa kama yamefika kikomo , akaona kama MTU Mwenye mikosi , amefiwa na mume WA ujana wake , mume ambaye alimfata kwenye ukoo mwingine akamfanya kuwaacha Baba yake na mama Yake, mume ambaye alisema Mungu wake atakuwa Mungu wake , na watu wake watakuwa watu wake , alifika mahali tumaini lake Kwa wanandamu lilifika kikomo , akaweka Imani Kwa Mungu WA mume wake na watu WA mume wake , akikumbuka ahadi za Mungu WA mume wake juu ya uhaminifu wake , hata katika mazingira ya kukata Tamaa hakukata Tamaa Kwa Mungu ambaye alisema atakuwa Mungu wake , akimkubusha ukuu wake na matendo Yake aliyoyafanya Kwa Yule kahaba Rahabu , na kweli Mungu ni mwaminifu katika majira ambayo hakutatajia akakutana na boazi na wanatuletea Yese ambaye ndiye Baba WA Mfalme Daudi
Tatu
Rahabu Yule kahaba wa Yeriko, huyu Maisha yake yalizungukwa na ukahaba hata majirani walimkataa akakimbia na kujenga nyumba nje ya mji kuepuka aibu za watu, akajaribu kila Aina ya njia kuachana na ukahaba akashindwa, akakutana na wainjilisti wanaohubiri Mambo makuu ya Mungu WA Israeli akaweka Imani kwake akisema kuna siku Tu ambayo haina Jina huyu Mungu WA waisraeli ataskia maombi yake , katika kipindi ambacho hakukitarajia Mungu anatuma wapelelezi kwake ili amsaidie kutoka kwenye dimbwi la dhambi na kumbadilisha historia Yake, na Leo Yuko kwenye kitabu cha ukoo WA Yesu
Katika habari za kitabu cha ukoo WA Yesu kuna habari za wanawake 3 Tu ambao wameandikwa na wote Maisha Yao hayakuwa mazuri , kuna habari za Tamari, Rahabu na Ruthu wote awa Maisha Yao hayakuwa rahisi lakini katika changamoto Zao Mungu aliwatoa katika shida zote
Ni kweli unatembea katika changamoto lakini nataka kukwambia changamoto ni mtaji WA Mafanikio, tamaza nchi nyingi ambazo zimekuwa na changamoto za hapa na pale ndizo nchi zenye Mafanikio , japani kila mwaka unaskia matetemeko lakini ni nchi tajiri Sana
Usikimbie changamoto muite Mungu mtatua changamoto , unakumbuka wanafunzi WA Yesu wakiwa kwenye boti lilipoanza kuzama wakamwita Yesu
Katika changamoto yako liitie Jina la Yesu na Mungu atakusaidia.
Dahahabu hauwezi kuwa dahahabu pasipo kupitia Moto, wewe ni dahahabu Ili thamani yako ionekane katika watu wako ni lazima upitie kwenye tanuru la Moto wapate kumwona Mungu wako