Maandalizi ya usaili TRA.

Mnaojiandaa muzielewe vizuri duties na responsibilities za nafasi husika
 
skuizi wakali so utakataliwa kufanya usaili. kama hauna kabisa at least uende na pasport picha. lakini nlishuudia mtu kakataliwa kuingia because ya kitambulisho
Ukiwa na Id card ya NHIF ni sawa?
 
Vijana wa Kitanzania akili zetu tunazijua wenyewe.....Hivi kweli unataka ukafanye Interview TRA ndio ulisome dude hilo lote.....Ache kuwa waoga wa kujiamini......Maswali ambayo yataulizwa mengi ni kuhusu uelewa wako na kuchambua mambo......je ukiiitwa Usail ofisi ya NAO-CAG...Utasoma ISA zote au?
 
Watakutukana kwa sababu unafikiri zaidi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau katika kusaka madude ya kujiandaa na usaili wa TRA nimekutana na hili desa, kama vipi na nyie muongeze madude ili tuliamshe siku tukiitwa pale duce.
Mkuu naomba nielekeze hizi soft copy ya vitabu vya bodi ntazipata wapi?? Kama hautajali naomba nisaidie copy ya kitabu cha corporate Finance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…