Maandalizi ya bao la mkono. Vituo 16 vyaongezwa Ukonga lakini tume haisemi vimeongezwa wapi na hakuna uandikishaji mpya

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), kimeshangazwa na kitendo cha Tume ya Uchaguzi, kuongeza vituo vipya 16 vya kupigia kura katika Jimbo la Ukonga bila kueleza vilipo wala majina yake, huku wakihoji kwanini tume hiyo imeongeza vituo hivyo kutoka 659 vya mwaka 2015 hadi 675 mwaka huu wakati hakuna uandikishaji mpya uliofanyika.

#KwanzaHabari
 
Mtaacha lini kulalamika na kila wakati kutuletea story zile zile? Kama mliona mazingira hayaruhusu ushindan kwanini mligombea?? Tuwe na akili kidogo, kwani hamkujua kwamba uongozi huu hakuna mpinzani atashinda? Mgombea wa CCM hasiposhinda anashindishwa

kuibiwa Kura so habari tena,
 
Mkuu huu uzi una hoja nzito kuliko haya uliyo yasema..
Kukaa kimya wakati michezo michafu inafanywa na NEC na kuongea ni kipi bora??
Hata kama wameshajihalalishia mshindi lazima atoke CCM lazima huu ushenzi unaofanywa na NEC usemwe ili wajue kwamba uhuni wanaoufanya unajulikana na haukubaliki.
Asante sana Mkuu Return Of Undertaker
 
Vituo vimeongezwa kutokana na mahitaji ya watu sasa mlitakaje nyie chadema mmesimamisha mgombea asie na mume mhuni wa mitaan kula zote kwa waitara ccm viva viva
 
Back
Top Bottom