Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
Amen na mimi naungana na wewe kuwaombea wote wenye nia ya kuoana, Mzee mmoja alisema vijana watulie maandalizi yana shida zake lakini lazima uwe mvumilivu.Kila la kheri wote wenye nia ya kuoa ili wajisitiri
Kweli mkuu.Amen na mm naungana na ww kuwaombea wote wenye nia ya kuoana, Mzee mmoja alisema vijana watulie maandalizi yana shida zake lakn lazma uwe mvumilivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliambiwa ukiona mwanaume anakataa kuoa ujue kuna mambo mawili anayo Kati ya haya.Wale ambao hatuna mpango wa harus na sendoff tuna comment wap??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Niliambiwa ukiona mwanaume anakataa kuoa ujue kuna mambo mawili anayo Kati ya haya.
1. Ubahili wa kiwango cha kimataifa.
2.Uoga,Aibu na kushindwa kuface watu wengi [emoji23][emoji23]
Hii niliskia sku moja watu wanaongea bar kama utani hivi lakn ikawa na uchambuz shawish sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha namba 2 inanihusuNiliambiwa ukiona mwanaume anakataa kuoa ujue kuna mambo mawili anayo Kati ya haya.
1. Ubahili wa kiwango cha kimataifa.
2.Uoga,Aibu na kushindwa kuface watu wengi [emoji23][emoji23]
Hii niliskia sku moja watu wanaongea bar kama utani hivi lakn ikawa na uchambuz shawish sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika siku hyo walikuw wanaongea watu Bar moja hv ikaleta mjadala mkubwa sana lakn baada nilipokuja kutulia nikahisi kuna kajiukweli flan ndani ya maongezi yale.[emoji23][emoji23]hahaha namba 2 inanihusu
Vzr sana, dunian hpa binadamu tunatofautiana ktk mambo matatuHapana me hyo pesa ya harus na sendoff bora nidake kiwanja tu asee[emoji95]
Sent from my iPhone using JamiiForums