Maandalizi mazuri ya undergraduate final project

Joined
Nov 6, 2015
Posts
46
Reaction score
18
Naomba tujuzane wana JF,

Eti yapi ni maandalizi mazuri anayotakiwa kuyafanya mwanafunzi wa chuo kikuu katika final project yake.
 
BSc in meteorology

Swadakta.

Kama bado hujapata title ya project ya kufanya hakikisha umepata title nzuri na unayo weza kui defend kwenye panel siku ya first presentation.

Kama ni inahusu research (lab work) hakikisha unapata literature mbali mbali kuhusiana na title yako na kuzisoma. Pia ni muhimu kufanya planning ya experiments (Kama utafanya DoE sio Mbaya) na material.

Pia ni lazima ujue majibu unayo ya expect ili Kama haikutokea uweze kufanya analysis na utoe scientific reasons.

Suala la msingi zaidi ni kumpata msimamizi / mwalimu anaelewa unachokifanya kwa ajiri ya msaada na kushauriana pale mambo yanapopamba moto.

La mwisho hakikisha unaifanya mwenyewe hiyo project mpaka mwisho na kuelewa unacho fanya.
 
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom