Maandalizi huwaje?

Maandalizi huwaje?

kwani we ukiaka asubuhi cha kwanza kbs ni nini kabla hujatoka rum?

weka mazingira poa, km geto linanuka viatu tafta spray.
Tandika bed shuka nzuri na safi.
 
mwenza au mpenzi wako anakupa taarifa ya kuja unapoishi.kuja kwake kutafuatiwa na kugegedana usiku kucha au kwa saa fulani.hilo unalijua vyema.

maandalizi ni yapi na yatakuwaje?
Kwani ulishawahi kupata taarifa kama hizo na je wewe ni mara yako ya kwanza??
 
Maandalizi ya kukuzika?basi tengeneza jeneza,chimba kaburi na uwataarifu ndugu zako.
 
Aiseee ni balaa kwa kweli cna jipya tena hapo duu
 
Osha vizuri, ukimaliza menya weka kwenye sufuria tia maji kiasi na chumvi kisha funika
baada ya dakika 15 vitakuwa tayari weka kwenye sahani
tayari kwa kuliwa.....

Ha!ha!haaaaaa!!uwiiiiiiiiiiiiii!!tisha sana wewe
 
Mkimaliza kula msali kabla ya kulala, mkumbuke pia kulala na nguo, na kila mmoja wenu ahakikishe kuna enough space kuwafanya hamgusani ili kuepuka dhambi ya uzinzi.
 
labda sijaelewa ...kama ni ya kimwili ni mpaka aje muandaane wote kwa kuchezeana mambo flani bhanaaa ahaa..na kama ni mazingira basi fua mashuka.deki ndani mpikie msosi wa maana...ni hayo tu.
 
mwenza au mpenzi wako anakupa taarifa ya kuja unapoishi.kuja kwake kutafuatiwa na kugegedana usiku kucha au kwa saa fulani.hilo unalijua vyema.

maandalizi ni yapi na yatakuwaje?

Maandalizi mazuri ni kuoga kutwa mara 5...
 
Back
Top Bottom