masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Ni jambo la kushangaza kama si kusikitisha kwa waziri wa Maji Mh Lwenge kumtaka Mh Kitwanga kukihama chama chake,CCM, ati tu kwa vile ameikosoa wizara bungeni wakati wa makadirio ya bajeti yake.
Naichukulia kauli ya Mh Lwenge kama kiburi kisichovumilika kwa sisi wananchi.
Wizara ya Maji ina madudu, yasikosolewe?
Au madudu hayo ni kwa manufaa ya CCM?
Sasa ni nani wa kuyakosoa bungeni, kukosoa kuachiwe upinzani tu?
Huu ni ufinyu wa mawazo na msimamo kwa Waziri Lwenge kutoa tamko kama alilotoa.
Je, wabunge wa CCM wako bungeni kubugia uoozo wowote unaoshuhudiwa huko majimboni?
Kuna mifano hai mingi sana ya miradi ya Maji majimboni, ambayo fedha yake imetumika lakini miradi hiyo hata kuanza utekelezaji haujawahi kufanyika!
Sasa hayo ayaseme nani?
Mh Gerson Lwenge, that wa too low!
Na actually watu wanaodhani CCM ina kazi ya kutetea madudu wanakiua chama.
Ref Mwananchi pg 5, 14/5/2017
"Lwenge amtaka Kitwanga ahame chama