Jidu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 1,232 Reaction score 757 Mar 11, 2011 #1 Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje?
Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje?
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Mar 11, 2011 #2 jidu said: Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje? Click to expand... Na anae jishebedua na kudeka deka ovyo Ila kwa kibongo bongo ni bitoz
jidu said: Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje? Click to expand... Na anae jishebedua na kudeka deka ovyo Ila kwa kibongo bongo ni bitoz
TATE Member Joined Aug 11, 2010 Posts 89 Reaction score 17 Mar 11, 2011 #3 nimesikia sehemu maana yake ni sehemu ya kutolea haja kubwa ya nyani, sijui kama ina ukweli wowote.
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Mar 11, 2011 #4 jidu said: Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje? Click to expand... Hao wa kibongo hawajiiti sharubaro, wao wanajiita sharobaro hiyo itakuwa na maana nyingine.
jidu said: Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje? Click to expand... Hao wa kibongo hawajiiti sharubaro, wao wanajiita sharobaro hiyo itakuwa na maana nyingine.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 11, 2011 #5 Sharubaro=sharobaro?
Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,910 Reaction score 445 Mar 11, 2011 #6 Alaaah, mi nilidhani neno ni chaurabu.
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,249 Reaction score 2,156 Mar 12, 2011 #7 Check hiyo video mtoto wa kiume analembua Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kipindupindu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 1,054 Reaction score 170 Mar 12, 2011 #8 Hilo neno halijaanza kutumika huku mikoani!DAR mnaharibu kiswahili.
kipindupindu JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 1,054 Reaction score 170 Mar 12, 2011 #9 jidu said: Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje? Click to expand... mbona kama lina lafudhi za kihaya?
jidu said: Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje? Click to expand... mbona kama lina lafudhi za kihaya?
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Mar 12, 2011 #10 Sharubaro au sharobaro???
O Ombeni w lema Member Joined Nov 16, 2010 Posts 22 Reaction score 1 Mar 12, 2011 #11 Ebwana eeh!!wabongo wana tabia za kuiga na kulipuka.NENO SHAROBARO NI MASHOGA WA ULAYA WALIO KUBUHU,AU WALIYO BOBEA.shit
Ebwana eeh!!wabongo wana tabia za kuiga na kulipuka.NENO SHAROBARO NI MASHOGA WA ULAYA WALIO KUBUHU,AU WALIYO BOBEA.shit
Kiherehere JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,806 Reaction score 622 Mar 12, 2011 #12 Nduka said: Hao wa kibongo hawajiiti sharubaro, wao wanajiita sharobaro hiyo itakuwa na maana nyingine. Click to expand... NI mchanganyiko wa maneno mawili KINGELEZA-shallow ikiwa na maana juu juu (kidogo) na KINYAKYUSA -bhuaro ikiwa na maana kuendesha (kuh"#*r^isha) Kwa hiyo neno zima lina maana KUHARISHA KIDOGO... inategemea umefanya wapi ila kuna sehemu nyingina inaleta maana nyingi mno.
Nduka said: Hao wa kibongo hawajiiti sharubaro, wao wanajiita sharobaro hiyo itakuwa na maana nyingine. Click to expand... NI mchanganyiko wa maneno mawili KINGELEZA-shallow ikiwa na maana juu juu (kidogo) na KINYAKYUSA -bhuaro ikiwa na maana kuendesha (kuh"#*r^isha) Kwa hiyo neno zima lina maana KUHARISHA KIDOGO... inategemea umefanya wapi ila kuna sehemu nyingina inaleta maana nyingi mno.
O Ombeni w lema Member Joined Nov 16, 2010 Posts 22 Reaction score 1 Mar 12, 2011 #13 Bwanaeee!namanisha sharobaro,manake mashoga wa ulaya walio kubuhu,ua walio bobea.kwanza comment yako ni negative read.
Bwanaeee!namanisha sharobaro,manake mashoga wa ulaya walio kubuhu,ua walio bobea.kwanza comment yako ni negative read.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Mar 12, 2011 #14 TATE said: nimesikia sehemu maana yake ni sehemu ya kutolea haja kubwa ya nyani, sijui kama ina ukweli wowote. Click to expand... Mmh! Wapi huko ulikosikia!
TATE said: nimesikia sehemu maana yake ni sehemu ya kutolea haja kubwa ya nyani, sijui kama ina ukweli wowote. Click to expand... Mmh! Wapi huko ulikosikia!
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Mar 12, 2011 #15 asante kwa tafsiri
MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 6,220 Reaction score 3,917 Mar 14, 2011 #16 Wanaitwa masharobaro bwana, acha kuchakachua!
NITATOA USHUHUDA JF-Expert Member Joined Jul 6, 2017 Posts 757 Reaction score 730 Aug 12, 2017 #17 MKUU ,SHAROBARO NI NYANI
samua JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,029 Reaction score 709 Aug 12, 2017 #18 Jidu said: Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje? Click to expand... Hahaha hahaha
Jidu said: Neno sharubaro lina asili ya kiarabu,maana yake ni binti kigoli mwenye kudeka!sasa hawa wanaojiita sharubaro sijui niaje? Click to expand... Hahaha hahaha