RB.ni kifupisho cha neno report book / So mtu akisema kuwa nimepewa rb tafsiri yake ameenda kituoni na taarifa yake imefunguliwa na kupewa kumbu no/Its like ref no.........
Naona umeshapewa kirefu chake pamoja na maana yake,ila mara nyingine tumia Google ikusaidie kwa vitu vidogo kama hivo sababu waweza kuomba msaada ukachelewa kupata au usiupate.