Maana ya neno YAKUZA

Maana ya neno YAKUZA

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
1,111
Reaction score
810
Wakuu habari, Hili neno YAKUZA lina maana gani? Wataalamu karibu.
 
Ni genge/kundi la waharifu lenye asili yake Japan
 
Ukienda kimara kuna kikundi cha watoto wanajiita yakuza na ukisikiliza nyimbo za singeli wanarushwa sana utasikia watoto wa yakuza

Ukikutana na hao watoto lazima waondoke na dogoli na ukiwa mbishi unakula mapanga na usiku usithubutu kukutana nao

Nadhani ushapata picha maana ya msemo huo
 
Nini maana ya dogoli?

“Start where you are. Use what you have. Do what you can.”

Similar Discussions

Back
Top Bottom