Nyie shule yenu bado haijafunguliwa?Jaman naombeni msaada wana jf kwa aka kaneno ambako kamekua maarufu siku hizi ambako kanatumiwa sana siku hizi na watu wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kwanini hauku uliza huko huko ulipo sikia huko kusimama kwa kucha.... Kisha ukakuja kuanzisha uzi ukiwa na habari kamilifu...!!??[emoji45] [emoji45]Jaman naombeni msaada wana jf kwa aka kaneno ambako kamekua maarufu siku hizi ambako kanatumiwa sana siku hizi na watu wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu sana...
Ilo neno mtu akiliongea naelewa anamanisha nini ila tatizo kulitolea maana kwa mtu mwingine ndio utata
Ila nafikiri ni kama
Kusimamia kucha ni kama kutake over/kutamba/kuibuka kinara/kung'ang'ania/kupambana
Karibu sana mkuu,unaingia mjengoni hata kuslimia wana nzengo husalimii unaliza upuuzi huo,pole sana,,maana yake ni kula 0713
Sent using Jamii Forums mobile app