Maana ya kusafisha nyota?.

Maana ya kusafisha nyota?.

PEACE ONE

Senior Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
143
Reaction score
47
Habari wana JF? Mara nyingi katika jamii tunayoishi mtu akipatwa na mikosi,misukosuko anaenda kwa Mganga wa kienyeji kusafisha nyota,,Nini maana ya kusafisha nyota? Mtu anayesafisha nyota anapata faida gani?Je kama ni kweli kusafisha nyota kunaondoa mikosi, Katika dini zetu ( KIISLAMU&KIKRISTO) nini njia mbadala inayotumika kuondoa mikosi,misukosuko? Naomba wataalamu wa dini za kiislamu na kikristo wanipe majibu sahihi.Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom