F franknombo Senior Member Mar 30, 2019 170 160 Oct 3, 2019 #1 Habari wadau, nini maana ya kisirani? Je mtu mwenye kisirani utamtambuaje?
Qurie JF-Expert Member Aug 9, 2015 3,638 3,850 Oct 3, 2019 #2 Mtu mwenye kisirani anapenda kukuza Mambo. Yaani kitu kidogo tu yeye atakikuza kaugomvi kadogo tu yeye atakakuza. Mtu mwenye kisirani anapenda kuhifadhi vitu moyoni. Utatokea mkwaruzano yatapita na utayasahau lakini muhusika atakuwa bado analo tu.
Mtu mwenye kisirani anapenda kukuza Mambo. Yaani kitu kidogo tu yeye atakikuza kaugomvi kadogo tu yeye atakakuza. Mtu mwenye kisirani anapenda kuhifadhi vitu moyoni. Utatokea mkwaruzano yatapita na utayasahau lakini muhusika atakuwa bado analo tu.