Wengi mlikua hamjui maana ya neno BANGI, Sasa leo ngoja niwape Elimu kidogo kuhusu hii kitu.
*BANGI* ni jani la mgomba linalochanua kwenye mbuyu kupitia treni kabla hujaumwa kwenye mafuta ya samaki na kupokea injini ya baiskeli iliyopita angani na mvua ikawaka juu ya jua.
Asanteni kwa kunielewa..!!