Ku synchronize ni kuweka vitu viwili katika state sawa, e.g kufanya folder A iwe na files sawa na folder B.
Backup ni copy ya kitu ambacho in case original ikaharibika au kupotea inaweza kutumika kurestore hali ya awali. e.g ukitengeneza copy ya data za DB ukazihifadhi sehemu tofauti na original, hiyo ni backup ya DB.
hv hz term zna maana gan na znatumika vp kwny simu? Kwa anayejua tafadhal HELP...!!
Kwa hyo Ku synchronize ni sawa na Ku back up mkuu au
hv na wizard ndo nn? Samahanin lkn kutoka nje ya topic
Kwa hyo Ku synchronize ni sawa na Ku back up mkuu au