Maana halisi ya wivu

BOGABICHI

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
89
Reaction score
19
Jamani wana jamvi hebu nisaidieni maana hali ya wivi
hiv nini chanzo cha wivu
kwani hata wanyama kama paka ,mbwa,farasi nao wana wivi.?
 
wanyama wivu wanao cheki paka,mbwa na simba wako makini.wivu ni kutaka mke/mume awe wako peke yako tu!wakati wenye macho wapo wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…