Maana halisi na tofauti kati ya Club kama timu ya mpira na Club kama Bar

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
Tafadhali

Naomba mwenye maono na uelewa mpana juu ya neno hili "club" kama linavyotumika .. xie xie =ahsante

#jr
 
Tafadhali

Naomba mwenye maono na uelewa mpana juu ya neno hili "club" kama linavyotumika .. xie xie =ahsante

#jr
1. Sehemu watu wanakutana kwa ajili ya kunywa, ubadilishane mawazo n.k.
2. Taasisi yenye wanachama, wanapitia uanachama na wana lengo fulani katika umoja wao.
 
Tofauti..inakuja unatumia cha na ya..

Mfano.

Klabu cha mpira (team)
Klabu ya pombe (bar n.k)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…