Maamuzi yalikuwa ni ya tume na sio maamuzi ya warioba

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Maamuzi yalikuwa ni ya tume ya katiba mpya,maamuzi hayakuwa ya warioba,Hii ndio faida ya kuwa na tume huru,tume isingekuwa huru,hata mwenyekiti wa tume angekuwa warioba maamuzi ya tume yangekuwa tofauti sana,na na rasmu ya pili ya mzee warioba
Warioba ni ccm damu,polepole ni ccm kufa na kupona,kwa hiyo hawa wajumbe wasingeweza kwenda kinyume na chama chao ccm,kilichosababisha wakashindwa kuchakachua maoni ya wananchi ni jinsi wajumbe wenyewe wa tume walivyopatikana,tume iliku huru
Tutumie nguvu nyingi kudai tume huru,tume ya katiba ilikuwa huru sana,hata warioba mwenyewe alishasema walishindana sana lkn wakafikia maridhiano kutokana na muundo wa tume
 
Back
Top Bottom