Chadema asilia wakoje humu ndani? Njoo na account yako halisi kama mimi ili tuamini wewe ni Chadema asilia na kura yako ni kwa magufuli.
Huwezi kutugawa kwa mtindo huo.Treni liko kwenye spidi kali Sana huwezi kulisimamisha
Kumbe unatafuta mume!Kwa heri
We unashabikia treni lipi spidi kali sana kulekea shimoni. Yaani unawahi kujizika mwenyewe. Sio mimi ninae gawa wanachama ila hayo ni maamuzi ya Chadema asilia wote na ipo hivyo. Maadam tumedharauliwa kwa kuletewa kundi la mafisadi na Dr Slaa kuonekana hana maana tena kwa nguvu zake zote alizozitoa na hata kupata kilema kwa ajili ya chama chetu hatuna budi na sisi kuonyesha msimamo wetu.
Wengi wetu tulikuja chadema kwa kuvutiwa na Dr Slaaa na misimamo yake na wala sio Mbowe wala Lissu.
Sasa ameondoka ni lazima tuwe nae bega kwa bega popote pale.
JF,
Kutokana na wimbi kubwa ambalo lilitukumba na hasa baada ya Mbowe na wenzake kuamua kukaribisha mafisadi CHADEMA, na kumfanye kamanda wetu Dr Slaa kutimua.
Tumeamua kwa kauli moja wote na hasa baada ya hotuba nyeti ya kamanda wetu Dr Slaa KUMPA KURA ZETU ZOOTE DR JOHN POMBE MAGUFULI ili sasa chadema wote tujifunze kutokana na makosa makubwa tuliyofanya kwa utashi binafsi tu bila hata ya kushirikisha wanachama.
Tuna uhakika wapo wabunge wengi wako pamoja nasi ila wapo kimya kwa usalama wao.
KURA ZETU KWA MAGUFULI.
CHADEMA ASILIA WOTE TUSIMAMIE HILI
Cc. Dr Slaa
We unazungumIa mfumo upi ambao unadhani ukawa tunao? Tumia akili kidogowote wenye fikra kama zako hamkujua maana ya mabadiliko watanzania tunayoyataka.mabadiliko yanayotakiwa hapa si ya watu bali ni ya mfumo.mfumo mbovu wa ccm ndo umezalisha richmond,eppa,escrow.hivyo hata aingie nani,katika mfumo mbovu wa ccm hakuna atakalo fanya.jitambue mambo unayoshabikia usipelekwe na hisia tumia fikra kijana.magufuli na lowasa wanamaana kama mifumo watakayotumia itakuwa ni imara
Ninyi vijana wa juzi bana mna shida sana. Wewe kamata chako, tambaa! Siku utakapoanza kulipa bills katika maisha yako, ndiyo itaingia na kukaa vema. Sasa hakuna unachojua; ati wewe leo ndiyo mtetezi wa Dr.W.Slaa!!! What a joke...
Hata ku-tag hujua ngoja tukusaidie ili huyo #Sellout mwenzenu akusome.
Cc: Dr.W.Slaa
Hayo ndo maamuzi yetu
kweli mama yako atakuwa anasikitika kwann alikuzaa ww!