Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Lini tunatoka jangwani?[emoji120]Kwa sasa Tuko Jangwani Bwashee [emoji23][emoji91]
Bunge limeshamaliza Kazi
Atajaribu kutaka kuvunja Baraza Ili amtoe namungo lakini wle jamaa watamkataza akishupaza shingo tu atajuta kufanya uamuzi huo!!Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025?
Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii itakichonganisha CCM yenyewe? Itakichonganisha CCM na wapigakura? Itakichonganisha CCM na Bunge?
Nini unabii (utabiri) wako?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wapiga kura gani? Hawa wanaoona ushabiki wa Yanga na Simba, Diamond na Alikiba ni muhimu kuliko Katiba mpya? Au wewe mgeni hapa Tanzania? Jamii ya waTanzania ni wajinga kuliko jamaii yoyote hapa Duniani.Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025?
Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii itakichonganisha CCM yenyewe? Itakichonganisha CCM na wapigakura? Itakichonganisha CCM na Bunge?
Nini unabii (utabiri) wako?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
HahahahahWapiga kura gani? Hawa wanaoona ushabiki wa Yanga na Simba, Diamond na Alikiba ni muhimu kuliko Katiba mpya? Au wewe mgeni hapa Tanzania? Jamii ya waTanzania ni wajinga kuliko jamaii yoyote hapa Duniani.
Unaweza kuwa mjinga alafu ukabaki na amani? Yaani unywe maji machafu na kulala na kunguni na papasi alafu bado unasema unayo amani.Hahahahah
unataka tuwe majasiri kama Hamas?
tuachie Nchi yetu ya Wajinga wajinga nenda hizo Nchi zenye werevu werevu
unataka tuvuruge amani yetu kisa tu tusiitwe wajinga wajinga ?
Amani tunayo Bwana MdogoUnaweza kuwa mjinga alafu ukabaki na amani? Yaani unywe maji machafu na kulala na kunguni na papasi alafu bado unasema unayo amani.
Kwako wewe amani ni nini?
Unaweza kuwa sahihi kwa namna unavyoona...vita siyo mpaka mbebe silahaa na amani siyo mpaka kusiwe na bunduki. Lakini pia unaweza kuwa sehemu ya wale wanaopumbaza watu kuwa bora ulale kwa kukosa umeme, maji Safi na salama wala kushinikiza viongozi kutumia vizuri makusanyo ya kodi zetu bali wakifanya hivyo watakuwa wanavunja amani walionayo.Amani tunayo Bwana Mdogo
Israel wana maisha bora kwa kila namna kuliko sisi lakini sasa hivi Raia wake hawana amani wako mtaani wanamshinikiza Netanyahu ajiuzulu kwa kushindwa kuwahakikishia amani
utajuaje umuhimu wa Hospital wakati hujawahi kuumwa au kuuguza ?
Kwahiyo kwako ukisikia Warundi wanavuka mpaka wanaingia Kigoma au ukisikia Wa Ukraine wanavuka mipaka ya Nchi yao kuepuka maafa unafananisha na wewe kunywa maji machafu au kulala na kunguni?
akili hizi znaashiria hata internet unayotumia ni kwa hisani ya 'Mume wa Dada'
Umevimbiwa amani ndio sababu unatukana Watanzania kwa kuwa tu hawashawishiki kuvuruga amani yao kwa visingizio hivyo sijui vya Umeme sijui Maji n.kUnaweza kuwa sahihi kwa namna unavyoona...vita siyo mpaka mbebe silahaa na amani siyo mpaka kusiwe na bunduki. Lakini pia unaweza kuwa sehemu wale wanaopumbaza watu kuwa bora ulale kwa kukosa umeme, maji Safi na salama wala kushinikiza viongozi kutumia vizuri makusanyo ya kodi zetu bali wakifanya hivyo watakuwa wanavunja amani walionayo.
Kuhusu matumizi ya internet ni hisani ya mume wa dada siyo big deal sana kwasababu Mh. Rais mwenyewe analala na kula kwa pesa zangu.
Usitegeeme cha maana kutoka kwa huyo ggy moneyMaamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025?
Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii itakichonganisha CCM yenyewe? Itakichonganisha CCM na wapigakura? Itakichonganisha CCM na Bunge?
Nini unabii (utabiri) wako?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Maamuzi ya Bunge ni yapi kuhusu Ripoti ya CAG? Nilichokiona mimi ni marumbano kati ya Wabunge na Mawaziri, lakini sikusikia maazimio ya aina yoyote.!!!Maamuzi ya Bunge Kuhusu Ripoti ya CAG je, Mama ataweza kula vichwa (kushika sharubu za Simba) kuelekea uchaguzi mkuu 2025?
Asipowala vichwa waliokula nchi kwa urefu wa kamba zao je, hii itakichonganisha CCM yenyewe? Itakichonganisha CCM na wapigakura? Itakichonganisha CCM na Bunge?
Nini unabii (utabiri) wako?