Maambukizi ya ukimwi

Maambukizi ya ukimwi

Shindwa sitakaa tumia hayomauchafu namwamini Mungu
Ujue kuna watu ni wa ajabu sana

Kwahyo huyo aliyekushauri juu ya tatizo lako unahc hana imani ya Mungu na wewe ndo una imaani saana ya Mungu eeh?

Af mbna AIDS mtu yoyote anaweza mbona anaweza kupata kenge we

sasa we nenda kapime ukutwe nao af uache kutumia hayo madude unayoyaita ni uchafu instead Muombe Mungu akuponye uone
 
Hupati HIV Jombaa. Mi ilipasuka condom nilikuwa na push iiiiiinnnnn. Ikazama yoooote ndani. Nikatoa fasta nilaenda kuosha mkuyenge.

Halafu tukaondoka wote kwenda kupima. Ikaonekana yule dada yuko vibaya HIV yake iko wazi kabisa full.

Mi hamna kitu. Nikapima tena baada ya miezi 3 hamna kitu.

Hata mimi nilipata shifa sana ya mawazo sababu nilikuwa nimeoa sasa simutaka nimuambukize wife.

We tulizana ila acha michepuko. Mi nimeacha.
Sema huna hela (bahili) bila michepuko usingezaliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom