Wewe usiwassikilize watu tumia hiko kichwa kuchanganua mambo,UKIMWI upo ni hatari na unauwa acha kukariri juwa hauna formular kwamba lazima uambukize kwa hivi au vile wenyewe utaingia ktk mwili wako kupitia popote ambako kutauruhusu uingie.
Epuka zile njia zinazoweza kukuhatarisha na haya maradhi,dunia bado inakuhitaji taifa lako pia bado linakuhitaji kuwa makini/vijana tuwe makini!