Andiko kutoka wapi na nani aliiandika?Vita yetu si kati ya damu na nyama (si ya kimwili ) baali ..... Katika ulimwengu wa Roho . Unalielewa hili andiko ?
Kifupi ni kwamba kuna mambo (vita) fulani katika maisha huwezi kupambana kwa jinsi ya mwili .
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]wanaume kama nyie tunawatafuta sanaMwanaume aliyekamilika mtikisiko lazima, ila ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuhimili hiyo mitikisiko (rejea habari ya Yusufu na mke wa farao).
Mimi kuna kale kaandiko ka mithali huwa kananifanya nighairi kila nikitaka kuchepuka "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA"
Nb;-
Wanaume tusiochepuka ndo tunaongoza kwa kukejeliwa na kuonekana mabwege.
Malengo ya kiburudani tu na kubadili radhaKila jambo hufanywa kwa kuangalia "NGUZO" kuu Nne; yaan NIA, UWEZO, MALENGO na IMANI au MIIKO ya desturi fulani (mfn wa miiko ni kama: kabila, dini n.k)
Sisi tunaweza kwa sababu tunakoswa MALENGO ya kufanya hivyo, na pia IMANI au MIIKO ya dini kama ilivyo kwenye Amri ya 6 ya biblia (ambayo ni imani au miiko ya dini).
Je ww hufanya vile kwa NIA na MALENGO yapi? Na je huna imani ya dini yyte?.
Hizi akili zilizo zungumzwa hapa si ni zipi?Mwanaume aliyekamilika mtikisiko lazima, ila ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuhimili hiyo mitikisiko (rejea habari ya Yusufu na mke wa farao).
Mimi kuna kale kaandiko ka mithali huwa kananifanya nighairi kila nikitaka kuchepuka "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA"
Nb;-
Wanaume tusiochepuka ndo tunaongoza kwa kukejeliwa na kuonekana mabwege.
Ndo maana uliomba ukapewaMwanaume aliyekamilika mtikisiko lazima, ila ukiwa na hofu ya Mungu unaweza kuhimili hiyo mitikisiko (rejea habari ya Yusufu na mke wa farao).
Mimi kuna kale kaandiko ka mithali huwa kananifanya nighairi kila nikitaka kuchepuka "Mtu aziniye na mwanamke HANA AKILI KABISA"
Nb;-
Wanaume tusiochepuka ndo tunaongoza kwa kukejeliwa na kuonekana mabwege.
🙌Andiko kutoka wapi na nani aliiandika?
jiulize kwanini meli inaelea alafu shilingi inazama?Naomba kusisitiza hapa:
Huu uzi ni kwa ajaili ya wanaume waliooa tu (kwa ndoa ya kimila, serikali, kidini au ya mkeka au unaishi na mke hata kwa mkataba).
Hivi nyie jamaa mnawezaje kusihi bila kuchepuka?
Mimi kati ya mambo yaliyo nishinda ni hili. Kuna kipindi niliapa kutulia nisiwe hata na mchepuko. Nikafuta mamba zao nikawablock wote. Hii ilienda kama wiki moja nikahisi kuumwa kabisa. Nikajitahidi kwenda jimu kupotezea mawazo ila haikufua dafu. Hata kazi zikawa zinalegea sometimes. Nilichofanya nika unblock michepuko yangu 2 nikaongea nayo na nikadanganya vya kudanganya.
Leo jumatatu ila ninashow mbili tofauti, hawa wote ni wale wanawake wenye maisha yao kamili sio wadangaji. Kila mmoja anatuma text hapa unakuja saa ngapi nikuandalie chakula kisipoe.
Sasa nauliza hivi nyie jamaa ambao mko loyal kwa wake zenu kiasi hata lapite demu mkali hamhisi mtikisiko wowote mnatumia dawa gani?
>Tuelimishane.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]wanaume kama nyie tunawatafuta sana
Nipe location puliiiiz
Thad upoo
Inamaana vumbi la kongo nililokupa halikufaa kitu? Au unataka kumpotezea tu mtoto Inna 🤔Hahaha ujue niliandika nikiwa na hangover, saivi ndo akili zimekaa sawa nimesoma hiyo komenti nimeshangaa sana.
Saivi niko misitu ya Congo natafuta dawa mpya za nguvu za kiume, nikirudi ntakushtua.