Ntayasubiri hayo mashairi kwa hamuje? Hommie usisahau ushairi wako uliokufanya umpate BADILI TABIA Yummy na cacico wakisaidiwa na Kongosho😱
Huyu mganga wangu wa mbagara huyu ni feki huyu! Leo lazima aiteme elfu tano yangu! Leo wiki imepita tangia 'anitengeneze' ili niandikiwe thread lakini mpaka leo naona wanaandikiwa wakina utafiti tu! Ngoja tu, hakyanani lazima leo anijue!
Hahhaha muuza ubuyu kwani wewe huijui #teamrafiki ?
Kaka nilikuwa naongezea limao kwenye supu ya kongoro tu kaka!
Mi na wewe hatutaachana labda ziraili afanye fitna yake. Na kilogwa akakuwahi, chapchap sana nakufuata hukohuko kichuna wangu. Unakumbuka ahadi yangu? Hata nikikufumania, sikuachi....:redface:
umenitupa sana teammate siju ndo ubusy ila yote kheri cha msingi uzima.nimekukumbuka sana teamment Mndengereko
umenitupa sana teammate siju ndo ubusy ila yote kheri cha msingi uzima.
kweli rafiki kuwa makini sana spidi anayokuja nayo miss neddy kwa kweli sio ndogoubusy kidogo tu Mndengereko nahudumia ndoa ,si unaona jins watu wanavojigongagonga kwa mume wangu utafiti huku?nisipokua makini nitaporwa tonge mkonon
kweli rafiki kuwa makini sana spidi anayokuja nayo miss neddy kwa kweli sio ndogo
hamna naweka mbolea sehemu kavutunachomeana utambi sio eeeeeh
tunachomeana utambi sio eeeeeh
huyu miss neddy namlia timing tu,nataka anigonge bahati mbaya mi nimkanyage makusudi
hamna naweka mbolea sehemu kavu
hahah yaishe bibie lol ushaanza vijembemhhhhhh kwako kunakauka wajali kwa jirani