Maalum kwa wenye vitu vibovu

Maalum kwa wenye vitu vibovu

twaleeb

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
231
Reaction score
83
AL-TIMIMY TECHNICIAN
Kwa wale wenye Juice Dispenser ambayo haitoi ubaridi unaoridhisha au mbovu na umehangaika nayo sana usisite kututafuta sisi tutaitengeneza na kuifanya iwe na ubaridi wa kutosha

Pia na wale wenye fridge au Freezer ambazo ni pasua kichwa au fundi amekimbia kazi ama umeligeuza kabati lilete kwetu tutaligeuza jipya

Pia tunafunga na kurekebisha Aircondition

kwa mawasiliano zaidi
+255 622 001 223

Nyote Mnakaribishwa
 
UKO wapi? Mbona mnashindwa kujieleza. Kumbuka katika biashara kuna vitu vitatu. LOCATION, LOCATION, LOCATION

LOCATION ni kama vile sehemu unayofanyia huduma / biashara kama inafifika
 
UKO wapi? Mbona mnashindwa kujieleza. Kumbuka katika biashara kuna vitu vitatu. LOCATION, LOCATION, LOCATION

LOCATION ni kama vile sehemu unayofanyia huduma / biashara kama inafifika
Nipo kigamboni mtaa wa ungindoni ila kuna baadhi ya kazi nafanya kwa mteja kuna baadhi ndo nafanyia kwangu karibu sana tukuhudumie
Kwa maswali zaidi nichek kupitia 0622001223
 
Wadau mm nipo Dar maeneo ya kigamboni ila kuna baadhi ya kazi nafanya kwa mteja ila kuna nyengine nafanya workshop kwangu
 
Kwa ss nimepanua wigo napatikana na Tanga mjini pia ila kwa siku maalum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom