CCM original
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 373
- 68
Ulipiga vibaya hesabu za MAGAZIJUTO, sasa unajua kosa lako. Ulidhani wazungu watakutetea, hapana. Umelamba "pyola".
Huwezi ongoza na nakuhakikishia kwa umri wako ulivyokimbia, hakika umejifuta mwenyewe kwenye siasa.
Pole sana my brother, rudi Pemba ukalime mwani na ukale urojo sio kuishi Lamada, Landmark, Royal hotel nk.