Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif amewasili ndani Jiji la Arusha leo na kesho anatarajia kwenda katika Gereza la Kisongo kwa ajili kwenda kumtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema ambaye yupo mahabusu.
Katibu Mkuu huyo amepokelewa na Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Meya wa Jiji la Arusha Mjini Kalisti Lazaro ,Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha Amani Golugwa , Naibu Meya Viola ,Mbunge wa Jimbo la Tarime John Heche pamoja Viongozi wengine wa Chadema pamoja wananchi .