Maalim Seif Sharif Hamad

[emoji16][emoji16]Hivi wanapata faida gani kujirundikia vinono, maana naona wanateseka

Sent using Jamii Forums mobile app
Vinono ni vinono ndugu yangu. Ni nani asiyependa vinono? Na wengi wanaofanikiwa maishani (sijui mafanikio ni nini) ni wale waliokubuhu kwenye hii taaluma tata ya kujirundikia vinono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…