Maalim Seif ndani ya Je Tutfika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif ndani ya Je Tutfika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimbunga, Jun 14, 2011.

 1. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Naanglia Channel ten Maalim Seif anafanya mazungumzo n makwaiya wa kuhenga. Maalim ameulizwa kwamba ukiwa kiongozi wa upinzani mnaendeshaje serikali. maalim akamkatisha na ksema alikuwa... Kwa maana hiyo kwa sasa si kiongozi wa upinzani. Kwa maana hiyo pia ni kwamba CUF siyo chama cha upinzani?
   
 2. J

  Jombi Jombii Senior Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM B, Kumbe Maalim Seif na Chama chao kelele zote ni njaa ya madaraka.Kweli safari ni ndefu kuelekea demokrasia ya kweli maana sasa sera inayotekelezwa ZNZ ni ya CCM,hawa jamaa wa CUF wamebaki jina tu lakini practically wao ni CCM.Hauwezi kusema wewe ni Muislamu halafu uonekane kwenye KITIMOTO kwa Masaweee!
   
Loading...