barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,865
Haya ni mahojiano yote ya Seif Hamad Shariff na Shaka Sali wa Voice of America,ambapo katika mambo mengi aliyoonge,Maalim Seif amegusia jinsi Kikwete alivyomwambia kuwa CCM hawawezi kumuachia ushindi sababu wanaamini atauvunja Muungano
Pia Maalim anasema hapendi kumwita JK "muongo" ila si mkweli,sababu kuna mambo mengi waliongea na wakaandikiana barua kuhusu mgogoro wa Znz lkn baadae Jak akamgeuka.Ukisikiliza mahojiano hayo unapata picha kamili ya mgogoro wa Znz na nafasi ya Jecha katika mgogoro huo wa kisiasa Znz