Maalim Seif: Haturudii Uchaguzi

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
2,326
Reaction score
1,316
Maalim Seif ameweka ngumu kuwa hawawezi kurudia uchaguzi.

CHANZO: NIPASHE
 
Zenj kwa Maalim sasa....kasubiri muda mrefu sana... ccm plz... msifanye demokrasia maana yake ni ccm kushinda tu....
 
-->>ukiwa ndani ya ccm ni mtu!,ukiwa nje si mtu!
maalim ni mzazibar halisi,si wa kununua ANASTAHILI NAFASI HIYO!
NI HAKI YAKE!
APATIWE!
 
Hebu wamtangaze watu tusherehekee tupoze japo machungu.
 
kwa hali iliyopo Seif asitegemee kuongoza znz labda akubali mseto tu vinginevyo ataishia kunawa!!!
 
Ni ngumu sana kudhani kwamba Uchaguzi hautarudiwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar, Tume hii ina wawakilishi toka CCM na CUF.

Tume ndiyo inatangaza matokeo toka majimbo lalini Tume ndiyo inafanya kazi ya kuandikisha wapiga Kura kabla ya Uchaguzi, hii ina maana gani? Tume ina idadi ya wapiga Kura wote kwa idadi ya Majimbo na vituo vya kupiga Kura.

Endapo itatokea tofauti ya wapiga Kura hasa kama idadi yao itaongezeka Tume itafuta Uchaguzi hiyo ni Haki yake.

Tume imetoa sababu 9 kwa nini imefuta Uchaguzi

1. Makamishna walivua mashati ili kutwangana makonde
9. Idadi ya wapiga Kura ilikua kubwa kuliko waliojiandikisha.

Ktk hali hiyo kinachotakiwa ni tafsiri tu ya Katiba kuhusu majukumu ya ZEC inapotokea hali kama hiyo.
 

Nami nafikiri Maalim Seif ilimbidi ajibie hizi kesi maana kiukweli zimeleta mitazamo tofauti so kwakuwa yeye anazo zile copy za matokeo ambazo alikusanya atuambie kuwa ZEC ni waongo na haweke bayana juu ya tuhuma za kuzidi wapiga kura
 
Nami nafikiri Maalim Seif ilimbidi ajibie hizi kesi maana kiukweli zimeleta mitazamo tofauti so kwakuwa yeye anazo zile copy za matokeo ambazo alikusanya atuambie kuwa ZEC ni waongo na haweke bayana juu ya tuhuma za kuzidi wapiga kura


Naam tuanzie hapo Maalimu Seif alete majibu, vinginevyo hakuna namna Uchaguzi lazima urudiwe.
 
Ataapishwa trh 5/11/20......25 haaa Ccm noma sana ili iwepo Democratic sssss nilazima Ccm ishinde isipo shinda ujue haki haikutendeka so lazima uludiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…