Maalim Seif anguruma Tanga

 
Mh! unapaswa kupitia upya katiba ya Zanzibar! Hapo kwenye nyekundu hawapo kabisa sijui unatumia katiba gani?!

kama unafuata hoja yangu katiba pia ni moja (ndio hiyo tunayoichangia mawazo) katiba ya znz ni sehemu ya katiba ya JMT. Na ni lazima iwepo kuwaongoza wazanzibari wakiwa ndani ya Jmt. Katiba yao wazanzibari ambayo itaheshimu mambo ya msingi kama vile uwepo wa Suk ikiwa ni serikali ndogo ndani ya serikali kuu ya jmt. Siyo suk ya sasa ambayo iko isolated from the jmt.
 

hata mimi nimeiona hiyo. Maalim majaku mwisho chumbe. Akienda tanga cuf wamgharimie
 
Huyu bwana sasa mhuni...akiwa huku "tunapendana" na akienda kule "hatuwataki"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…