kitofio Senior Member Joined Oct 4, 2013 Posts 121 Reaction score 32 Sep 30, 2016 #121 Abunwasi said: Mbona hakwenda polisi kukana kuwa wale ndugu zangu waki zanzibari waliokamatwa na silaha ambapo wamedai kuwa wametumwa kuja kuongeza ulinzi ofisini kuwa hawakutumwa na uongozi?????? Click to expand... Taja majina mawili ya hapo ndugu zako walokamatwa na polisi
Abunwasi said: Mbona hakwenda polisi kukana kuwa wale ndugu zangu waki zanzibari waliokamatwa na silaha ambapo wamedai kuwa wametumwa kuja kuongeza ulinzi ofisini kuwa hawakutumwa na uongozi?????? Click to expand... Taja majina mawili ya hapo ndugu zako walokamatwa na polisi
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,986 Reaction score 24,016 Oct 1, 2016 #122 mrangi said: Duh Huyu prof anachokitafuta atakipata Ova Click to expand... Wamesharudisha jengo kwa mwenyewe! Sasa aende Zbar akahamie na wale wapiga karate wake! Shwain! Prof njaa imehamia kichwani!
mrangi said: Duh Huyu prof anachokitafuta atakipata Ova Click to expand... Wamesharudisha jengo kwa mwenyewe! Sasa aende Zbar akahamie na wale wapiga karate wake! Shwain! Prof njaa imehamia kichwani!
TL. Marandu JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 3,625 Reaction score 5,815 Oct 1, 2016 #123 The hammer said: Hii nchi itakuja kuendelea CCM itoke madarakani.Kuna figisu nyingi sana,sanaa nyingi sana. Click to expand... ccm haitatoka madarakani kwa kura hilo kwangu ni dhahiri. Inabaki tu sasa kufuata unabii wa Mw. Nyerere
The hammer said: Hii nchi itakuja kuendelea CCM itoke madarakani.Kuna figisu nyingi sana,sanaa nyingi sana. Click to expand... ccm haitatoka madarakani kwa kura hilo kwangu ni dhahiri. Inabaki tu sasa kufuata unabii wa Mw. Nyerere
Abunwasi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 5,486 Reaction score 3,477 Oct 2, 2016 #124 kitofio said: Taja majina mawili ya hapo ndugu zako walokamatwa na polisi Click to expand... Soma magazeti
kitofio said: Taja majina mawili ya hapo ndugu zako walokamatwa na polisi Click to expand... Soma magazeti