Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Afu anaflow kiswahili fluently kiswahili chenye ladha,sio anachomeka chomeka kizungu kama kina fid q,Jamaa Fundi sanaYap-yap man!!
Nash huwa aninikosha sana..
Mc pekee mwenye VVU bongo nzima.
Anapenda sana fasihi,kiswahili chake na michano yake inaladha nzuri mno.Afu anaflow kiswahili fluently kiswahili chenye radha,sio anachomeka chomeka kizungu kama kina fid q,Jamaa Fundi sana
Mimi sijawahi kukutana na nash mc na nipo mbali na temeke kwao na jiji la dar,nipo kilometre kibao toka dar.Nash anajua hakika nn anafanya.. Lugha adhim anaitunza.. Anautunzi murua Wa kiswahili..
Kuhusu utamaduni tumefokafoka sana tu kwenye ngoma huko vijijini.. Kama muandishi unahisi Nash anahangaika kuiga umarekani
Acha kutumia mitandao, vua nguo usipeleke watoto shule..rudi kijijini kajenge tembe la mavi ya ngombe uishi kwa kulima na kuokota matunda mwitu...
Nash Mc ni msanii Bora, na sio Bora Msanii.. Pata wasaa ukae na Nash uongee naye uone uelewa wa kiwango cha kukaa na wanazuoni.
Humble, charming, engaged... Ni mtu poa sana.. Sio mchoyo na sio mnafiki. Ndio maana anawapa madini wanamuona mjuvi sana.. Na habagui yeyote ukiwa timamu mnaingage kwenye mazungumzo. Hii ni maneno mbofu mbofuMimi sijawahi kukutana na nash mc na nipo mbali na temeke kwao na jiji la dar,nipo kilometre kibao toka dar.
Ila kutokana na utunzi wake unatambua kabisa jamaa kichwani yupo vizuri sana.
Safi sana..Humble, charming, engaged... Ni mtu poa sana.. Sio mchoyo na sio mnafiki. Ndio maana anawapa madini wanamuona mjuvi sana.. Na habagui yeyote ukiwa timamu mnaingage kwenye mazungumzo. Hii ni maneno mbofu mbofu
Kuna show moja yake ya Temeke.Humble, charming, engaged... Ni mtu poa sana.. Sio mchoyo na sio mnafiki. Ndio maana anawapa madini wanamuona mjuvi sana.. Na habagui yeyote ukiwa timamu mnaingage kwenye mazungumzo. Hii ni maneno mbofu mbofu
Kesho tutakuwekea picha yake.Tupieni hata picha yake tumfahamu.
Hakika haupo mbali na ufalme.Nahitaji kumfahamu tu. Albamu yake iki-hit nitashawishika nadhani.
Kizuri chajiuzaHakika haupo mbali na ufalme.
Kibaya chajitembeza.Kizuri chajiuza